Wenzangu hali si hali nimekwama

Unaukweli fulani
 
Wanaocheka ipo.siku yao
 
Kapata shambulio la negative energy atafute mtu amfundishe meditation ili apandishe mitetemo yake juu ajiponye mwenyewe ili hayo matakataka sijui uchawi yote yatakwisha
How maana nahitaj
 
Sio akili yangu inashida haina ila kama utaweza kuwa mwema sio unatania kama siku zote nitakuelekeza
 
Sema hioshida wengine humu ni waganga wa jadi usiogope hidinakwanza pesa baadaya matokeo
 
Ni kweli uyasemayo ila nitofauti nasikia hivi. Kitu kikubwa kizito mgongoni kinanilemea kinaninyonga kinashuka gadi mgongoni kinakaba mbavu sana hadi sipumui
Pole sana dunia inachangamoto sana hii
 
Tusaidiane basi wenyewe kwa wenyewe
Naomba basi utualike wawili watatu...at least tukomalie jina lako cute ...ukiwa na Imani utakaa sawa...ila jitahidi sana kujiombea hata kimoyomoyo,kemea kwa kutumia jina la Yesu utavuka cute
 
Una tatizo la imani hafifu katika Muumba wako.
Hakuna, nasema hakuna mwenye uwezo zaidi ya Muumba wako kukutatulia matatizo yako.
Kuna mahali umeboronga, tubu na jidhili.
Halafu omba kwa neema bila kuchoka.
Hali yako itakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…