Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Mimi mathalan, nina king'amuzi cha startimes.Chaneli zikizingua napiga customer care na cha kwanza wanachoulizia ni.... taja namba yako ya kadi, as if ipo readyready kichwani.si nyingi hapo zipo katika kadi so zinahifadhiwa hapo2 mkuu.au we unahifadhi vp?
hahahaaaa,kushika hizo namba zngne ni shida ase tena hazina hata mpangilio...namba rahisi kushika ni ya simu tu,lada na benki.Mimi mathalan, nina king'amuzi cha startimes.Chaneli zikizingua napiga customer care na cha kwanza wanachoulizia ni.... taja namba yako ya kadi, as if ipo readyready kichwani.