Wenzangu, Hizi namba Mnazifanyaje?

Wenzangu, Hizi namba Mnazifanyaje?

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,377
Wanachitchat, nawatakieni heri na baraka za mwaka mpya!

Maisha ya karne hii yametawaliwa na namba......kila kitu ni namba.
Namba za simu,
Namba za akaunti yako ya benki
Namba za kadi ya king'amuzi
Namba za LUKU
Namba, namba, namba.
Afadhali hizo namba za simu unazihifadhi kwenye phone book ya simu. Hizo nyingine je jamani!

Mnafanyaje?
 
tuambie kwanza wewe unazifanyeje then nasiyetukujibu
 
Na hapo bado namba 666haiijakolea..yani tunakoelekea hata kuwahudumia wake zetu itahitaji passw no!
 
si nyingi hapo zipo katika kadi so zinahifadhiwa hapo2 mkuu.au we unahifadhi vp?
 
si nyingi hapo zipo katika kadi so zinahifadhiwa hapo2 mkuu.au we unahifadhi vp?
Mimi mathalan, nina king'amuzi cha startimes.Chaneli zikizingua napiga customer care na cha kwanza wanachoulizia ni.... taja namba yako ya kadi, as if ipo readyready kichwani.
 
Mimi mathalan, nina king'amuzi cha startimes.Chaneli zikizingua napiga customer care na cha kwanza wanachoulizia ni.... taja namba yako ya kadi, as if ipo readyready kichwani.
hahahaaaa,kushika hizo namba zngne ni shida ase tena hazina hata mpangilio...namba rahisi kushika ni ya simu tu,lada na benki.
 
Back
Top Bottom