Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] jamani
Vipi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] jamani
😀 Achana na Mirinda nyeusi kwanza mimi nipo na wewe. Hujambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi jamani
Mimi sijambo kabisaa jamani, Namshukuru Mungu kwa kweli![emoji3] Achana na Mirinda nyeusi kwanza mimi nipo na wewe. Hujambo?
Mimi pia namshukuru Mungu kwakweli nipo safi kabisa, nafurahi kukuonaMimi sijambo kabisaa jamani, Namshukuru Mungu kwa kweli!
Vipi wewe eti jamani
Nafurahii pia kujua hujambo, Mungu ni mwaminifu sana jamani...Mimi pia namshukuru Mungu kwakweli nipo safi kabisa, nafurahi kukuona
Hakuna matata Sakayo tupo pamoja siku zoteNafurahii pia kujua hujambo, Mungu ni mwaminifu sana jamani...
Asante kufurahi, nipo nipo nawatazama vijana!
Soda nzuri sana hizo Tena upate zile chupa za kioo Ni bombaJaribu kunywa Anjari Soda au Helto kutoka Tanga uone radha yake.
HahahahahHakuna matata Sakayo tupo pamoja siku zote
Utakuwa na malaria nenda hospital unaumwaTuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.
Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji cha soda maana Gambe halipandi.
Changamoto ninayokutana nayo ni kwamba siku hizi soda sio tamu kabisa, yaan kuna muda unataman uiyache kabisa sema ndio hivyo utaonekana waring a.
Nimejaribu kunywa soda tofauti tofauti naona changamoto ni ile ile, soda hazina kabisa ladha jamani.
"" HUKO KWA WENZANGU VIPI, AU MDOMO WANGU UMEAMUA KUZIKATAA SODA??? ""
NB:Ugonjw huu sio wa kuchezea tuwe makini ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kunywa Anjari Soda au Helto kutoka Tanga uone radha yake.
Kiukweli me ni mpenzi wa coca. Lakini sikuhizi siielewi kabisa, imekuwa haina ladha. Nimebak pepsi tu nako naona imepungua utamu sijui shida nini, au labda ulimi wangu ushazoe konyagi.
hata hizi ambazo inadaiwa hazina sukari pia si nzuri siku hizi. (Original taste)Siku soda ambazo hazina sukari ni nyingi kwa hiyo uwe unachagua ambayo haijaandikwa haina sukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo passion umeacha?Tatizo mnapenda sana vitu vitamu tamu, "Sisi wa Fanta Passion tunacomment wapi?" ladha bado ile ile [emoji41][emoji41]
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.