Wenzangu hizi soda siku hizi mnaiyonaje ladha yake

Mimi pia namshukuru Mungu kwakweli nipo safi kabisa, nafurahi kukuona
Nafurahii pia kujua hujambo, Mungu ni mwaminifu sana jamani...
Asante kufurahi, nipo nipo nawatazama vijana!
 
Utakuwa na malaria nenda hospital unaumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli me ni mpenzi wa coca. Lakini sikuhizi siielewi kabisa, imekuwa haina ladha. Nimebak pepsi tu nako naona imepungua utamu sijui shida nini, au labda ulimi wangu ushazoe konyagi.

Siku soda ambazo hazina sukari ni nyingi kwa hiyo uwe unachagua ambayo haijaandikwa haina sukari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnapenda sana vitu vitamu tamu, "Sisi wa Fanta Passion tunacomment wapi?" ladha bado ile ile [emoji41][emoji41]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Mo passion umeacha?
 


Hivi wewe bado unakunywa "sumu" za viwandani tu???!! Soda, beer, na vinywaji vyote (feezy drinks) ni sumu na ndiyo maana zina ladha kila siku tofauti kulingana na chemikali wanazojichanganyia hivyo, kifupi vinywaji hivyo ni sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…