Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu..

Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo

Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
 
Alright...watch out bro. X-mrs wangu alikuwa ananiambia hivo hivo. Nikaja kugundua ana cheat na watu zaidi ya mwanamme mmoja huko mtaani.

Mke akikuambia hivo chukulia ni suala comparison kati ya yale unayomfanyia na kibaka wa mtaani (namwita kibaka yule anayecheat na mke wa mtu)
 
Ndugu zangu..

Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo

Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
kwa keo uwe na utu ili iweje. huo ni mtego. ukiwa na utu tu umekwisha
 
Ndoa yako ina muda gani? Mna watoto?
 
Ndugu zangu..

Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo

Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
Ukiona mwanamke kakuambia hivyo jua unafanya vyema sana kwenye kuijenga future yako,endelea kukaza hapo hapo.
Wanaume wengi wamekua masikini sababu ya kusikiliza demand za wanwake zinazoteketeza pesa
 
Unatulia alafu unamwacha amalinze kuongea. Akimaliza unaingia mfukoni unampa chochote kitu kama Vile buku, khaki, buku ten au laki. Inategemea na Hali yako. Alafu unapanda kitandani kulala
 
Mi mke wangu alinambia sina UTU, nikapiga chini......
 
Ndugu zangu..

Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo

Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
Ulipokuwa unaoa mkuu hukuambiwa kuwa wanawake mdomo ndio silaha yao kuu ya maangamizi?you just take it for granted ili maisha yasonge mbele...
 
Back
Top Bottom