Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Alright...watch out bro. X-mrs wangu alikuwa ananiambia hivo hivo. Nikaja kugundua ana cheat na watu zaidi ya mwanamme mmoja huko mtaani.Ndugu zangu..
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
kwa keo uwe na utu ili iweje. huo ni mtego. ukiwa na utu tu umekwishaNdugu zangu..
Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo
Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
Ukiona mwanamke kakuambia hivyo jua unafanya vyema sana kwenye kuijenga future yako,endelea kukaza hapo hapo.Ndugu zangu..
Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo
Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata tamaa kabisa kiasi cha kufikiria kufanya maamuzi magumu sana juu ya huyu mke wangu?
Ulipokuwa unaoa mkuu hukuambiwa kuwa wanawake mdomo ndio silaha yao kuu ya maangamizi?you just take it for granted ili maisha yasonge mbele...Ndugu zangu..