Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Mpendwa changanya hisia na maono yako... utapata mada muafaka ya kutuandikia!!
 
habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Kwani wewe hauna matukio ktk maisha yako?? Matukio ya kuandikq yapo kibao, ktk jamii au hata maisha yako au ya ndugu, jamaa na marafiki. Mfano, ebu anzisha uzi kuhusu ule mchepuko wako! Utashangaa mwenyewe umaandika gazeti na kujiuliza umeandikaje gazeti bila kujua.
 
Kwani wewe hauna matukio ktk maisha yako?? Matukio ya kuandikq yapo kibao, ktk jamii au hata maisha yako au ya ndugu, jamaa na marafiki. Mfano, ebu anzisha uzi kuhusu ule chepuko wako!
hahaha eh bana, afu na hii pia niifanyie kazi
 
Back
Top Bottom