Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Hahahaa. Umenichekesha sana mleta uzi.

Si kama hivi sasa umeshatiririka na sisi tunachangia ndio nyuzi zenyewe hizi.
 
Hahahaa. Umenichekesha sana mleta uzi.

Si kama hivi sasa umeshatiririka na sisi tunachangia ndio nyuzi zenyewe hizi.
😀😀 ndio hapa naona kumbe chochote kinachoandikwa kinakua uzi tu unaotolewa mawazo..
 
Back
Top Bottom