Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
jibu pm yangu babe
 
Hii nani kaanzisha??
 
JF ni ya The great thinkers inabidi urudi FB vinginevyo ubaki tu kuwa msomaji
 
Chochote unachofikiria kichwani, jambo lolote ulilowahi kuhadithiwa na mtu, au jambo lolote unaloliona mtaani, ofisini, n.k
Hivyo yaani... Kama kuandika script, au kutunga nyimbo...
 
habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Hilo ndo tatizo la kukimbia wazee wako kijijni,,,,una ata kumbukumbuku ya ushaur wa bibi au babu yako[emoji13]
 
Back
Top Bottom