Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu pm yangu babehabari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
mnh inaonekana asubuh yako sio nzur leo.. pole mkuukwani lazima kila binadamu humu JF hawe na mada?
Hapana aisee, kwanza hata huwa sina mawazo ya kuanzisha madahahaha mbona kama unaonekana mtoa mada mzuri demi
afu ni hawe au awe?? anyway sio lazima mwayakwani lazima kila binadamu humu JF hawe na mada?
Hii nani kaanzisha??habari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
hahaha unapenda tu kuchangia..Hapana aisee, kwanza hata huwa sina mawazo ya kuanzisha mada
asante🙂Ndio ushachapisha tayari hongera
hahahaaHii nani kaanzisha??
hahaa hadi babe, haya sawa nitakujibu babejibu pm yangu babe
JF ni ya The great thinkers inabidi urudi FB vinginevyo ubaki tu kuwa msomajihabari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Swali zuri sana kiongozi..Wewe ni ke au me?
sawa sawa great thinker wewe..JF ni ya The great thinkers inabidi urudi FB vinginevyo ubaki tu kuwa msomaji
hahaa yan acha tu jmnSi kama hivi umepata cha kuanzisha jamani
Hilo ndo tatizo la kukimbia wazee wako kijijni,,,,una ata kumbukumbuku ya ushaur wa bibi au babu yako[emoji13]habari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
hahahaha khaa sasa wazee wamekujaje hape.Hilo ndo tatizo la kukimbia wazee wako kijijni,,,,una ata kumbukumbuku ya ushaur wa bibi au babu yako[emoji13]
haha sina hata fb unayoiongeleaumeletwa hapa naumbea .rudi uko ulipotoka facebook