Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hii uliyoanzisha pia ni mada....habari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Njoo PM tuongee zaidhabari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini🙁🙁..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😵
Ndiyo maana "Halmashauri ina kidhi mipango miji" ...hahaha haya mpendwa utakua unanipaga ushahuri mpendwa si eti?
hahahah sema mfano wako umeniacha hoi, haya banaHata yule kipanga wa dalasan mnaingia nae pamoja lakin ww ulikuwa unashika mkia kipanga anashika namba moja..sawa sawa na hapa
Hahahaaa ndo huko huko...hayaaa njooo mrembo nijue nakusaidiaje😀😀😀 PM ndio inbobo eh?
kritika mwenzangu, nimegundua mada ni chochote mpnzHata mimi ni mgeni nataka niwe mtoa mada mzuri
🙂😉😉Hahahaaa ndo huko huko...hayaaa njooo mrembo nijue nakusaidiaje
Hahahaaa. Umeonaeeee.😀😀 ndio hapa naona kumbe chochote kinachoandikwa kinakua uzi tu unaotolewa mawazo..
mimi mtu wa siasa lakini sitaki kabisa kuzungumzia mada za siasa kwa sasa[emoji23] [emoji23]kritika mwenzangu, nimegundua mada ni chochote mpnz
😉 sawa usserHapo hapo ulipotoa hii
hahah naona umepiga hodi labda ukizoea zoea unaanza kushusha hayo mambo🙂mimi mtu wa siasa lakini sitaki kabisa kuzungumzia mada za siasa kwa sasa[emoji23] [emoji23]
Ukikosa uje nkupe mada😉 sawa usser
hahaa kwani wewe hujawahi kuliwa papuchi kwa kukopwa"" ?? kama ulishawahi anzisha Uzi tu"" utawapata wakopwaji wenzio na wakopaji""😀😀😀 ila kweli hata mada za hivo nazionaga humu, mara mtu haoni siku mara amemwagiwa sijui nje.. okay asante kwa kunipa mwongozo