Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] OK,tayari umeshapata mbinunimeandika tu ili nipate kujua nyie zen mnatoaga wapi..hahah,
utanipa mada za kupost ehNjoo pm
hahaha nimegundua hilo baada ya kupost hapa🙂
nimepata kweli tayar.. hahaha[emoji1] [emoji1] OK,tayari umeshapata mbinu
hahaha ww unaonekana ni mzee wa kukopa za wenzako...hahaa kwani wewe hujawahi kuliwa papuchi kwa kukopwa"" ?? kama ulishawahi anzisha Uzi tu"" utawapata wakopwaji wenzio na wakopaji""
mweh haya asantePole
hahaa kwahiyo nikiwa sina hela ndio nife na genye "" kukopa kama kawa ""hahaha ww unaonekana ni mzee wa kukopa za wenzako...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfano siku zake zimewahi huku mwez au zimechelewa!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
hahahh asante Demiss nitakuja huko pm wangu🙂Jaman njoo pm nikupe madaa wangu uanze kutiririkaaa
Wengine tunaandika maisha yetu halisi lakini je upo vizur kupangilia mawazooo
mweh umenikumbusha mambo ya fasihi.,, sawa mkuuMkuu kwenye fasihi kuna hadhira na fanani.
😀😀😀 mwenzangu naona mada imejileta yenyeweNawe huoni umepata mada ya kuanzisha, ndio hivyo hivyo inavyokua.
hahhahah acha kupenda kukopa mkuu, utakopa majini😀😀hahaa kwahiyo nikiwa sina hela ndio nife na genye "" kukopa kama kawa ""
hahaha mbona kama unaonekana mtoa mada mzuri demiHata mimi huwa najiuliza sana hili swali
hiyo itakuwa ni ajali kazini mkuu"" kwahiyo wewe utaogopa kununua Gari "" kwaajili ya kuwa na hofu ya kupata ajali ::???hahhahah acha kupenda kukopa mkuu, utakopa majini😀😀