Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeandika tu ili nipate kujua nyie zen mnatoaga wapi..hahah,Jibu kwanza!!! Hii mada uliyoanzisha umeitoa wapi?
hahaha kila nikijibu hili swali naona naanza kujichanganyaKwani wazo la kutoa hii mada umelipata wapi? Tuanzie hapo kwanza
hahaha inawezekana nikawa jiniasi ujue.Basi wewe ni "genius" sema tu hujiamini!
Imagine, umeanza ku-type tu, nondo zikaanza kushuka zenyewe... sitanii.
Mimi nishakutaka kimapenzi ujue😀😀😀 hahaha
sema ww umeamua kunikurupukia tu mwenzakoKwani kuna mashindano huku ya kuanzisha uzi??
hahaha mbona umenitaka fasta sana sasa, umenichekesha akiMimi nishakutaka kimapenzi ujue
🙂🙂 haha na hata sikutegemea itakua mada kwakweli..ila nimeshapata ma idea kibao ya nyuzi hapa hapaHata hii yako ni mada pia..😀😀😀
wapendwa hushauriana ktk masilahi ya maendeleo!! ha ha haasante mpendwa ka ushauri
hahaha haya mpendwa utakua unanipaga ushahuri mpendwa si eti?wapendwa hushauriana ktk masilahi ya maendeleo!! ha ha ha
😀😀 ndio hapa naona kumbe chochote kinachoandikwa kinakua uzi tu unaotolewa mawazo..Hahahaa. Umenichekesha sana mleta uzi.
Si kama hivi sasa umeshatiririka na sisi tunachangia ndio nyuzi zenyewe hizi.