T2020JPM
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 635
- 263
Sawa, unapiganiaje uhuru mkuu?Tangu ukoloni kwa madiba barabara zilikuwa zinajengwa lakini watu walipigania uhuru sababu haki hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, unapiganiaje uhuru mkuu?Tangu ukoloni kwa madiba barabara zilikuwa zinajengwa lakini watu walipigania uhuru sababu haki hakuna
Angalia hapo
Msikilize TAL kwenye dak 45 ITV ndo utamuelewa zaidiSawa, unapiganiaje uhuru mkuu?
Pamoja na kumsikiliza TAL (naamini umemsikiliza) ila bado umeshindwa kunijibu swali langu unapigania vipi uhuru kiongozi.Msikilize TAL kwenye dak 45 ITV ndo utamuelewa zaidi
Hivi bado unaomba ajira au unalinda ajira yako?