Wenzenu wanaroga wachezaji, nyie mnaroga mshinde mtalia mara ya nne

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hapa ndio simba wanafeli

Na hapa ndipo viongoz wanapiga hela

Wenzenu wanapiga misumari kina ateba na wenzie

Amjiuulizi kila mechi mnajadili hivi ndio hiyu kweli wa u tube

Watu wanamalizaba na wachezaji myie mnaenda kuloga mshinde

Mwisho mtalia tena na tena na dis time mnapigwa 3 nk
 
Unashikilia mikoba nini mkuu? Una taarifa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…