Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
South korea
images (5).jpeg
 
Dah! Mwanangu hii Mologolo kaitamka kama wenyeji kabisa wa kasoro bahari, ila sasa hii Mujumbula hii mwanangu alimaanisha nini wajameni, hata kama ni Bujumbura ndio iko Uganda jama
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
 
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
Mungu alishawabarikigi waalimu wala msiwe na shaka. Hasa hasa waalimu wa Tanzania. Thawabu zenu mtazikuta mbinguni kwa huku duniani potezeeni tu. Madubwasha kama CWT yanawaangalieni tu
 
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
Poleni walimu, hapo mnatakiwa muwe na uwezo wa kufundisha masomo yoote. Ndugai Mungu amsaidie
 
Mungu alishawabarikigi waalimu wala msiwe na shaka. Hasa hasa waalimu wa Tanzania. Thawabu zenu mtazikuta mbinguni kwa huku duniani potezeeni tu. Madubwasha kama CWT yanawaangalieni tu
Amen....
 
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
Ila shida kubwa ya waalimu wa Tanzania hamna umoja! Kataeni au kubalini. Mkipanga ka kitu kenu mnataka kufanya kwa ajili ya manufaa yenu unashangaa kesho yake kabla hakujakucha mmeshagawanyika vipande vipande na hata usiowategemea unaona wanavyonyumbulika kumtetea mtesi. Hii huwa inakatisha tamaa sana sisi wabeba zege tunaowaombea kwenye sala zetu kila siku.
 
Si ajabu hizo ni marks za watoto wa Chekechea! Au mitihani hiyo hata asiyejua kusoma na kuandika anapata hizo alama! Kifupi ufaulu wa ntihani wa karatasi peke yake siyo measure ya intelligence; Ukisoma Curriculum ya Finland hata kwenye Google ndiyo utajua wanavyowapima wanafunzi, na ni moja ya nchi zenye elimu bora kabisa duniani!
 
Back
Top Bottom