Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
hahhahaSisi bado sana....hata A ya 75 ni mzigo
View attachment 1808217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhahaSisi bado sana....hata A ya 75 ni mzigo
View attachment 1808217
Sisi bado sana....hata A ya 75 ni mzigo
View attachment 1808217
Hao ndio raia wa uchumi wa kati ambao hayati Magufuli alikua anawapiganiaNa huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.
Mungu atutie nguvu tu.
Tatizo ni kuweka siasa kwenye elimu.....hapa ndio kumeharibu kila kitu.Tatizo ni waalimu au msingi wa elimu au wanafunzi?
MmmhHao ndio raia wa uchumi wa kati ambao hayati Magufuli alikua anawapigania
Kuna kitu hakipo sawa katika hii kada.Ila shida kubwa ya waalimu wa Tanzania hamna umoja! Kataeni au kubalini. Mkipanga ka kitu kenu mnataka kufanya kwa ajili ya manufaa yenu unashangaa kesho yake kabla hakujakucha mmeshagawanyika vipande vipande na hata usiowategemea unaona wanavyonyumbulika kumtetea mtesi. Hii huwa inakatisha tamaa sana sisi wabeba zege tunaowaombea kwenye sala zetu kila siku.
Grading system ndio ubora wa elimu. Leta mfumo mzima wa utahini sio grading tu.South korea
View attachment 1808180
hajielewi huyu maiki sjui spika