Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

uzushi mtupu hakuna grading km hiyo, kwanza ubora wa elimu sio watu kupata mia au tisini, ndio maana singapore walikua na mpango wa kuondoa madaraja wabaki tu na kufeli na kufauru basi,watoto wajikite kwe kuelewa sio kushndana kupata ufauru mkubwa, japan stage za awali hawana mitihan kabisa watoto wajifunze kwa amani waelewe
 
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
Hao ndio raia wa uchumi wa kati ambao hayati Magufuli alikua anawapigania
 
Kuna kitu hakipo sawa katika hii kada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…