Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo.

Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ?

Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
 
FB_IMG_1771527410674.jpg
 
Vina muda sasa?? Wamatumbi-waarabu watoto wa allah huwaambii kitu!! Sasa huo upuuzi hauwezi ukauleta bara ukakubalika!! Unaishiaga visiwani huko kwa waarabu-weusi!! Huku bara watu wanafanya kazi zao karibu kabisa na msikiti na ikifika mida ya msosi mama lishe wanakorofisha mambo yananukia mpaka ndani ya msikiti na watoto wa allah hawana cha kuwafanya!!
 
Ifike muda dunia ipinge na kuukataa ujinga huu wa imani ya kidini. Mbona kama dunia inawadekeza sana waislam? Wamekuwa kero kwa wasio waislam pahala pengi duniani. Wao wamefunga kwa matakwa yao ya kiimani, kwa nini wajisikie vibaya wengine wanapokula mchana?
 
Bara kuna mji mmoja msikiti una fremu na miongoni mwa fremu za msikiti kuna cafe chakula kinaliwa mchana wala waislam hawakatazi na hawajaamuru mgahawa huo ufungwe kipindi cha mfungo.
 
Yaani mtu anakurupuka na li uzi lisilo na kichwa wala miguu halafu kuna mijinga inamuunga mkono.
 
Mi nakulaga live kwenye pantoni. Kufunga kwako hakunihusu. Ukikereka we ujue mnaskosea maana ya kufunga. Na subiri mtu siku akichanganya.
 
Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo.

Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ?

Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
Wale wanataka kukutawala tu wakifunga wao na wewe ufunge.

Vinginevyo hakuna mantiki kutaka mtu asiyeamini asile anavyotaka wakati Quran yenyewe inasema kuwa katika imani hakutakiwi kulazimishana.
 
Back
Top Bottom