Nchi ndani ya nchi ambayo haina nchi yake
Wale wanataka kukutawala tu wakifunga wao na wewe ufunge.Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo.
Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ?
Hii ni funga ya kimwili au kiroho.