dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.