Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Not right kutufanya Waislam tuonekane mialiko yetu inakuwaga na expectations za kupewa mualiko pia.

Mualiko ni by own free will, unautoa ili kufurahi na wenzio na kushare nacho ulichojaaliwa.

Sasa kwa kifupi, imekula kwako. Haikuwa lazima kualikwa😛
Haswaa
 
Kusema ukweli waislam ni tofauti sana na wakristo kwenye sherehe za kidini. Waislam ni wakarim sana na nadhani kwao ni sehemu ya ibada. Mimi ninajirani yangu muislam nyakati za sikukuu za kiislam hata nisipoenda au niwe nimetoka lazima analeta chakula nyumbani tena cha nguvu unless niwe nimekwenda.
Na hivyo ndivyo ilivyo ,ila anapoleta sio lazima awe n expectations za kupewa na yeye kweny sherehe za kikristo...mtoa mada asiharibu maan nzima ya ukarimu w waislamu
 
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.

Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.

Mkijua kula mjue na kuliwa basi.

La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.

Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
C5gDAuqWMAEeqJA.jpg
C3AzaqEW8AALwPI.jpg
 
Hawa watu wachoyo sijawahi ona.
Lkn hata dini zao ndivyo zilivyo.
Wanapenda sana miteremko
 
Back
Top Bottom