Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,423
Reaction score
1,987
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.

Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.

Mkijua kula mjue na kuliwa basi.

La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.

Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
 
Not right kutufanya Waislam tuonekane mialiko yetu inakuwaga na expectations za kupewa mualiko pia.

Mualiko ni by own free will, unautoa ili kufurahi na wenzio na kushare nacho ulichojaaliwa.

Sasa kwa kifupi, imekula kwako. Haikuwa lazima kualikwa😛
 
Meseji senti endi delivadi...!
Ni ujumbe Mubashara mleta Uzi..[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji489] [emoji489] [emoji125] [emoji125]
 
Vyuma hivi si mchezo bandika maji ya ugali ndugu yangu muda unakwenda [emoji23] [emoji23] pambana na hari yako
 
Acha kupenda kula## acha uroho, pambana na hali yako
 
Takwimu zako umeztoa wapi ??? Acha hizo mkuu kojoa lala bado mapema stress ztaisha za....
Hili halihusu Nchi.
Na haina maana kuwa sili au sishibi,
Nashangazwa sana hawa watu,
Wewe pima tu si tunao mitaani.
 
Still hakuondoi kuwashangaa kwangu.
 
Leo waislamu mmecharuka. Christmas imewatia uchizi au? Mnapoalika huwa mmelazimishwa au ni kufuata misingi ya mtume wenu? Kuna aliyewalazimisha mfuturu nje ya nyumba?

PAMBANENI NA HALI ZENU MNABOA SASA AAAH!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…