Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Tulegee wakati msimamo ni uleule hakuna lockdown wala upuuzi wa mabwana zenu wa ubeligiji huku
hahah nani kawaambia muweke lock down??

Hapa tunajadili chanjo.

Mataga mtake msitake chanjo ni lazima.
tena nyie mataga tutawadunga sindano za utosini ili mpone na kifaduro.
 
Subiri uone hizo card zitakavyouzwa hapa kwetu kwa bei mbaya kama unataka kusafiri.
 
hahah nani kawaambia muweke lock down??

Hapa tunajadili chanjo.

Mataga mtake msitake chanjo ni lazima.
tena nyie mataga tutawadunga sindano za utosini ili mpone na kifaduro.
Si kwakua nyie mlishapewa chanjo za beberu maana mlikua mnalilia sana hadi mnatia huruma.............mkimaliza kujadili chanjo tafuta kingine maana hamuishiwagi na mada za kulialia hadi hii mitano iishe andaeni mada za kutosha za kulialia
 
mataga Chanjo ni lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…