Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Wana Jamvi, nimekutana na hawa vijana wakimarekani wakifanya debate kwa Kiswahili. Kwa kweli inafurahisha na nina imani ndani ya miaka michache ijayo, Kiswahili kitakuwa kati ya lugha moja inayozungumzwa na watu wengi duniani. Fungua link usikilize.
https://www.facebook.com/photo.php?v=456768307753087&set=vb.275105389212141&type=2&theater
Tiba
https://www.facebook.com/photo.php?v=456768307753087&set=vb.275105389212141&type=2&theater
Tiba