Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ilikuwa zamani. Sasa hivi used means used.Wanazi recondition kabla ya kuzileta Bongo.
Akupakie rangi halafu BFoward wakuuzie $1000? Huyo mwenye gari anapata chini ya $1000 hio rangi bei gani? Rangi ni ile ile ila mazingira ya wenzetu hayapaushi rangi na gari haikwanguliwo hovyo.Gari zote zinakuwa zimefanyiwa kurudisha nyuma km na wanafanya full service na kupaka tena Rangi
Taja wapi magari yote yanatuka Japani chunguza vizuri yote ni REPAINT MKUUAkupakie rangi halafu BFoward wakuuzie $1000? Huyo mwenye gari anapata chini ya $1000 hio rangi bei gani? Rangi ni ile ile ila mazingira ya wenzetu hayapaushi rangi na gari haikwanguliwo hovyo.
Bongo ukipaki gari unakuta kundi la watu wamekalia,wameegamia wengine wanaweka ndoo za samaki,beseni ya mihogo unafikiri ikikaa mwaka itatamanika?
Unaposema YOTE ndio unapokosea. Labda kama lilipata ajali,lakini kwa hali ya kawaida gari huko hazipauki rangi.Taja wapi magari yote yanatuka Japani chunguza vizuri yote ni REPAINT MKUU
NA KM WANARUDISHA HATA MIMI NAWEZA KURUDISHA NYUMA KM
Kwa mizunguko yangu ya shughuli tu, tena ndani ya km za mraba 15 nafikisha. Kwani mtu anayekaa mbezi mwisho kama anaamua kutumia gari kwenda posta au kariakoo kwa miezi miwili aende na kurudi hafikishi km 5000 kwa miezi miwili?Mkuu km 5000 miezi miwili unakuwa unaenda wapi..
Km 2500 kwa mwezi sawa na km 600+ kwa week sawa na 80+ kwa siku..yah zinaweza fika mkuu..nilikua sijazigawa vzurKwa mizunguko yangu ya shughuli tu, tena ndani ya km za mraba 15 nafikisha. Kwani mtu anayekaa mbezi mwisho kama anaamua kutumia gari kwenda posta au kariakoo kwa miezi miwili aende na kurudi hafikishi km 5000 kwa miezi miwili?
Nawaza tu.
Kuna baadhi ya magari watu wananunua kwa fashion au seasonal use..pia mengine anakua nalo zaidi ya moja hivyo hata matumizi yake si ya kila siku (assuming haijachezewa odometer)Majibu mazuri. Sasa gari ya umri wa miaka 15 inapokuwa imetembea km 80000 inakuwaje. Hii ni sawa na km 5300 kwa mwaka. Sasa kwa hali ya kawaida km 5300 kwa hapa kwetu ni safari ya miezi kama miwili.
Nadhani wewe utakuwa engineer.Majibu mazuri. Sasa gari ya umri wa miaka 15 inapokuwa imetembea km 80000 inakuwaje. Hii ni sawa na km 5300 kwa mwaka. Sasa kwa hali ya kawaida km 5300 kwa hapa kwetu ni safari ya miezi kama miwili.