Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank.

Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
 
Naam nyingi hazina ili kuna public toilets sehemu nyingi tu.., Kumbuka Banks sio kazi yao kuhudumia chakula ulichoingiza; ila migahawa ndio kisheria lazima iwe na Huduma hii..., hata hivyo kama mji katika planning inahikikisha kuna public toilets katika sehemu tofauti tofauti; Kwahio ingawa sio lazima kisheria Bank binafsi inaweza kufanya hivyo ila sioni kwanini ifanye (kuongeza overheads) wakati kuna Public Toilets pengine
 
Sio kwa huko tu hata huku kwetu huo utaratibu sijauona kwa baadhi ya benki. Pia free internet
 
Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank.

Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
Sasa benki wakuwekee choo ili iweje? Umekuja kukaa na kustarehe? Ukibanwa toka nje tafuta public toilet maliza mambo yako rudi benki. Watu pekee wanaobanwa na sheria kuweka toilet ni baa na hoteri!
 
Tembea na kichupa cha asali mkuu kama hautaki kukojoa.
Lamba kijiko cha asali ukimaliza kunywa maji
 
Back
Top Bottom