Eiyer mdogo wangu wa moyoni, unatakiwa kuombea yote, kwanza mnamshukuru mungu kwa faragha laiyowapa kisha mnamwomba aitanguie na kuteka miili yenu ikatumike ipasavyo wakati wa tendo zima kisha mnaharibu kaazi za ibilizi juu ya tendo husika. manafanya mtakavyo. mkimaliza mnashukuru kwa tendo mlilokwisha fanya na raha mliyoipata. baadae kabla hamja kurupuka kuondoka mnarudiana ili ibilisi asiwajaribu kwa kutkuwa na kiasi kwenu.Heee!Kumbe hii imoeee,hebu niambie,unasalije vile?Ee Muumba nijalie nimchabange wife bao za kutosha. . . . .Nimejaribu tu haya mambo mi siyajui hebu nijuzeni!
LOL! I plead the fifth
asikwambie mtu TIMING kwanza game ya kupiga ukiwa umeiombea na umetakasa miili yenu kwa nia ya kupeana raha na ukaviteka viungo kwa ajili hiyo lol huwa ni tamu usipime yaani hata kama hulii siku hiyo itakuliza. manake moyo hufunguka kupita kiasi na hupelekea kumuona mwenzi wako kama lulu mbele zako lol.anza uone you will tell ma dearest
Eiyer mdogo wangu wa moyoni, unatakiwa kuombea yote, kwanza mnamshukuru mungu kwa faragha laiyowapa kisha mnamwomba aitanguie na kuteka miili yenu ikatumike ipasavyo wakati wa tendo zima kisha mnaharibu kaazi za ibilizi juu ya tendo husika. manafanya mtakavyo. mkimaliza mnashukuru kwa tendo mlilokwisha fanya na raha mliyoipata. baadae kabla hamja kurupuka kuondoka mnarudiana ili ibilisi asiwajaribu kwa kutkuwa na kiasi kwenu.
Hizo kazi za ibilisi unazoziharibu during game ndo zipi?
mito kaka yangu wa moyoni, iko hivi kusali hakutegemeani na mazingira ila ni commitment tu. mfano siku ambayo bimkubwa yuko mp definately huwez kuomba game na kama ukiomba akisha kujibu basi huna haja ya kuendelea kuitafuta network kwani haiwezekan kuipata. na wakati wa kusali nafikir wengi wa wanandoa huwa tunazion adalili za game muda mrefu b4 game kuanza so ni busara mnapoingia kitandani makasali kwanza.Ni utaratibu mzuri gfsonwin lakini practically ni ngumu kuutekeleza. Tena msipokuwa na hekima unaweza kuwaletea kutokuelewana na mwenzi wako. Assume mmerudi jioni kutoka kwenye miangaiko yenu ya maisha, muda wa kwenda kulala umefika hivyo mnaingia chumbani, mzee unahitaji tendo lakini unajua utaratibu ni kusali kwanza, hivyo unaanzisha sala, mnamaliza unatarajia mzigo, wife anakwambia unajua leo nimeanza siku zangu, ahaaa! Kumbuka mlishapiga sala kwa ajili ya hiyo kitu, kumbe kitu yenyewe haiwezekani siku hiyo loh! au pengine ingebidi wife akukatishe sala kwa kuwa anajua hakuna mzigo leo!! yaani it's too complicated...
Wengi wanasali ile ya general tu kisha mambo mengine yatafuata. Wale wanaosalia tendo specifically mara nyingi wanakuwa wanaomba baraka za Mungu ili mwanamke ashike mimba. Mkienda kanisani kuombewa kwa ajili ya kupata mtoto, mara nyingi mapadri, wachungaji n.k wanawashauri muombe kwanza kabla ya kufanya hilo tendo ili kuita uwepo wa roho mtakatifu ktk shughuli nzima!
Hehehe! And I know why!
Miranda low shld be abolished!
gfsonwin, hapo kwenye msosi mie nna rafiki huwa ananicheka sala yangu. Huku nachagua nyama nono ya kuanzia nasemaga breathlessly 'bless this food in ur name Jesus, amen', hiyo amen na nyama ishafika mdomoni.
So nakubaliana na ww, sala si lazma iambatane na mapambio ya kusifu na kuabudu. By the way, God is the highest form of intelligence, anaelewa hata mawazo tu!
thawabu ni kinyume cha dhambi
yaani jambo jema la kukupeleka peponi...
naomba uniwekee hapa sample ya maombi na sala ya kabla ya sex...
mito kaka yangu wa moyoni, iko hivi kusali hakutegemeani na mazingira ila ni commitment tu. mfano siku ambayo bimkubwa yuko mp definately huwez kuomba game na kama ukiomba akisha kujibu basi huna haja ya kuendelea kuitafuta network kwani haiwezekan kuipata. na wakati wa kusali nafikir wengi wa wanandoa huwa tunazion adalili za game muda mrefu b4 game kuanza so ni busara mnapoingia kitandani makasali kwanza.
labda nikuulize mito ulishawah kuombea chakula wakati bado hakijafika mezan na tena sala ya chakula?sidhani kama imewah kutokea kwenye familia yeyote ile. so ni busara sana hili tendo likaheshimiwa na kuombewa kama tunavyoombea chakula mezani
Afu weeh Eiyer si ulisema hujaanzaga mambo za wakubwa? Hebu kalale uache wakubwa waongee. Haya twende nikusindikize kaka mdogo...
mdogo wangu wewe muda huu wapaswa uwe umelala sasa mbone uko macho? miye nawafundisha tu hawa manake ndio kaazi ya mwalimu
kama vile kuwajaribu mkatumia njia zisizofaa like kumtumia mwanamke kinyume na matumizi yake ya asili, au kuwaletea magonjwa wakati wa tendo like kunawengine wanashindwa katikati labda kapata homa and so forth
gfsonwin na mie ninayependa ku-do kwenye gari inakuaje jamani?, maana nikipata amarula zangu kabla ya kufika hm huwa kuna kona fulani hivi, hapohapo, na tunakuwaga tungi tayari, inakuaje hapo ssa? au tuwe tunasali kabla ya kwenda kupata mvinyo?