Wenzi mwalifamu hili?!

Wenzi mwalifamu hili?!

Heee!Kumbe hii imoeee,hebu niambie,unasalije vile?Ee Muumba nijalie nimchabange wife bao za kutosha. . . . .Nimejaribu tu haya mambo mi siyajui hebu nijuzeni!
Eiyer mdogo wangu wa moyoni, unatakiwa kuombea yote, kwanza mnamshukuru mungu kwa faragha laiyowapa kisha mnamwomba aitanguie na kuteka miili yenu ikatumike ipasavyo wakati wa tendo zima kisha mnaharibu kaazi za ibilizi juu ya tendo husika. manafanya mtakavyo. mkimaliza mnashukuru kwa tendo mlilokwisha fanya na raha mliyoipata. baadae kabla hamja kurupuka kuondoka mnarudiana ili ibilisi asiwajaribu kwa kutkuwa na kiasi kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe! And I know why!
Miranda low shld be abolished!

gfsonwin, hapo kwenye msosi mie nna rafiki huwa ananicheka sala yangu. Huku nachagua nyama nono ya kuanzia nasemaga breathlessly 'bless this food in ur name Jesus, amen', hiyo amen na nyama ishafika mdomoni.

So nakubaliana na ww, sala si lazma iambatane na mapambio ya kusifu na kuabudu. By the way, God is the highest form of intelligence, anaelewa hata mawazo tu!
LOL! I plead the fifth
 
Last edited by a moderator:
Ni utaratibu mzuri gfsonwin lakini practically ni ngumu kuutekeleza. Tena msipokuwa na hekima unaweza kuwaletea kutokuelewana na mwenzi wako. Assume mmerudi jioni kutoka kwenye miangaiko yenu ya maisha, muda wa kwenda kulala umefika hivyo mnaingia chumbani, mzee unahitaji tendo lakini unajua utaratibu ni kusali kwanza, hivyo unaanzisha sala, mnamaliza unatarajia mzigo, wife anakwambia unajua leo nimeanza siku zangu, ahaaa! Kumbuka mlishapiga sala kwa ajili ya hiyo kitu, kumbe kitu yenyewe haiwezekani siku hiyo loh! au pengine ingebidi wife akukatishe sala kwa kuwa anajua hakuna mzigo leo!! yaani it's too complicated...

Wengi wanasali ile ya general tu kisha mambo mengine yatafuata. Wale wanaosalia tendo specifically mara nyingi wanakuwa wanaomba baraka za Mungu ili mwanamke ashike mimba. Mkienda kanisani kuombewa kwa ajili ya kupata mtoto, mara nyingi mapadri, wachungaji n.k wanawashauri muombe kwanza kabla ya kufanya hilo tendo ili kuita uwepo wa roho mtakatifu ktk shughuli nzima!
 
asikwambie mtu TIMING kwanza game ya kupiga ukiwa umeiombea na umetakasa miili yenu kwa nia ya kupeana raha na ukaviteka viungo kwa ajili hiyo lol huwa ni tamu usipime yaani hata kama hulii siku hiyo itakuliza. manake moyo hufunguka kupita kiasi na hupelekea kumuona mwenzi wako kama lulu mbele zako lol.anza uone you will tell ma dearest

Una mambo weweeee!!. . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Eiyer mdogo wangu wa moyoni, unatakiwa kuombea yote, kwanza mnamshukuru mungu kwa faragha laiyowapa kisha mnamwomba aitanguie na kuteka miili yenu ikatumike ipasavyo wakati wa tendo zima kisha mnaharibu kaazi za ibilizi juu ya tendo husika. manafanya mtakavyo. mkimaliza mnashukuru kwa tendo mlilokwisha fanya na raha mliyoipata. baadae kabla hamja kurupuka kuondoka mnarudiana ili ibilisi asiwajaribu kwa kutkuwa na kiasi kwenu.

Hizo kazi za ibilisi unazoziharibu during game ndo zipi?
 
Last edited by a moderator:
Una mambo weweeee!!. . . . . . .

mdogo wangu wewe muda huu wapaswa uwe umelala sasa mbone uko macho? miye nawafundisha tu hawa manake ndio kaazi ya mwalimu
 
Hizo kazi za ibilisi unazoziharibu during game ndo zipi?

kama vile kuwajaribu mkatumia njia zisizofaa like kumtumia mwanamke kinyume na matumizi yake ya asili, au kuwaletea magonjwa wakati wa tendo like kunawengine wanashindwa katikati labda kapata homa and so forth
 
Afu weeh Eiyer si ulisema hujaanzaga mambo za wakubwa? Hebu kalale uache wakubwa waongee. Haya twende nikusindikize kaka mdogo...
 
Ni utaratibu mzuri gfsonwin lakini practically ni ngumu kuutekeleza. Tena msipokuwa na hekima unaweza kuwaletea kutokuelewana na mwenzi wako. Assume mmerudi jioni kutoka kwenye miangaiko yenu ya maisha, muda wa kwenda kulala umefika hivyo mnaingia chumbani, mzee unahitaji tendo lakini unajua utaratibu ni kusali kwanza, hivyo unaanzisha sala, mnamaliza unatarajia mzigo, wife anakwambia unajua leo nimeanza siku zangu, ahaaa! Kumbuka mlishapiga sala kwa ajili ya hiyo kitu, kumbe kitu yenyewe haiwezekani siku hiyo loh! au pengine ingebidi wife akukatishe sala kwa kuwa anajua hakuna mzigo leo!! yaani it's too complicated...

Wengi wanasali ile ya general tu kisha mambo mengine yatafuata. Wale wanaosalia tendo specifically mara nyingi wanakuwa wanaomba baraka za Mungu ili mwanamke ashike mimba. Mkienda kanisani kuombewa kwa ajili ya kupata mtoto, mara nyingi mapadri, wachungaji n.k wanawashauri muombe kwanza kabla ya kufanya hilo tendo ili kuita uwepo wa roho mtakatifu ktk shughuli nzima!
mito kaka yangu wa moyoni, iko hivi kusali hakutegemeani na mazingira ila ni commitment tu. mfano siku ambayo bimkubwa yuko mp definately huwez kuomba game na kama ukiomba akisha kujibu basi huna haja ya kuendelea kuitafuta network kwani haiwezekan kuipata. na wakati wa kusali nafikir wengi wa wanandoa huwa tunazion adalili za game muda mrefu b4 game kuanza so ni busara mnapoingia kitandani makasali kwanza.

labda nikuulize mito ulishawah kuombea chakula wakati bado hakijafika mezan na tena sala ya chakula?sidhani kama imewah kutokea kwenye familia yeyote ile. so ni busara sana hili tendo likaheshimiwa na kuombewa kama tunavyoombea chakula mezani
 
Last edited by a moderator:
Hehehe! And I know why!
Miranda low shld be abolished!

gfsonwin, hapo kwenye msosi mie nna rafiki huwa ananicheka sala yangu. Huku nachagua nyama nono ya kuanzia nasemaga breathlessly 'bless this food in ur name Jesus, amen', hiyo amen na nyama ishafika mdomoni.

So nakubaliana na ww, sala si lazma iambatane na mapambio ya kusifu na kuabudu. By the way, God is the highest form of intelligence, anaelewa hata mawazo tu!

well said King'asti. sala siyo muda wote lazima ziambatane na mapambio na kupayuka payuka no. tena mwaweza sema mamneno manne tu yenye maana kimoyomoyo basi yakatosha mkaendelea na kazi yenu.

i have a friend of mine this type of prayer helped her and rescued her marriage from demons. it is until u see how it works you will realize how important it is.
 
Last edited by a moderator:
thawabu ni kinyume cha dhambi
yaani jambo jema la kukupeleka peponi...

naomba uniwekee hapa sample ya maombi na sala ya kabla ya sex...

Jamani! Why cant you listen to what my loving mom is telling you! Huwa wanasali hivi pamoja na baba. . .

'Tunakushukuru Mungu, kwa neema ya ndoa uliyotupa. Siku kwa siku umeukuza upendo wetu. Nawe umetuweka pamoja tuufurahie unyumba huu. Tunapoingia katika kufurahia uumbaji wako, tunaomba baraka zako! Tupe kuwa na wakati mwema wa furaha kila mmoja akimridhisha mwenziwe. Amen'

Is that hard?
 
mito kaka yangu wa moyoni, iko hivi kusali hakutegemeani na mazingira ila ni commitment tu. mfano siku ambayo bimkubwa yuko mp definately huwez kuomba game na kama ukiomba akisha kujibu basi huna haja ya kuendelea kuitafuta network kwani haiwezekan kuipata. na wakati wa kusali nafikir wengi wa wanandoa huwa tunazion adalili za game muda mrefu b4 game kuanza so ni busara mnapoingia kitandani makasali kwanza.

labda nikuulize mito ulishawah kuombea chakula wakati bado hakijafika mezan na tena sala ya chakula?sidhani kama imewah kutokea kwenye familia yeyote ile. so ni busara sana hili tendo likaheshimiwa na kuombewa kama tunavyoombea chakula mezani

Nimekuelewa vizuri gfsonwin, ndo maana nimetanguliza kusema ni wazo zuri, tena ngoja niongezee kusema ni wazo zuri mkiweza kulitekeleza. Shida yangu ni kwamba utekelezaji wake ni mgumu kidogo, Yaani mtalifanya tendo zima kuwa too formal, mtalipunguzia mashamsham ambayo ndo yanaongeza radha. Sijui wengine lakini binafsi naona kama tukitanguliza sala tunakuwa tunaweka limitations fulani hivi, matokeo yake nafsi zitawafanya mshindwe kujiachia bure!

Ninavyojua mimi (I stand to be corrected), chakula tunakiombea kwa sababu ndo kinatufanya tuishi, hivyo tunamuomba Mungu aweke baraka zake ili kijenge hekalu lake. Lakini tendo la ndoa si chakula kwamba linahitajika ili tuishi. Yaani sasa tunaliombea ili iweje wakati Mungu huyo huyo ameishalihalalisha kwa wanandoa. Ila kama ni kwa ajili ya kupata mtoto, it's well and good, hata mimi na wife tunafanyaga hivi and it work fine. Lakini thereafter, tunakuwa tunaombea chakula na ile sala ya kawaida kabla ya kwenda kulala.
 
Afu weeh Eiyer si ulisema hujaanzaga mambo za wakubwa? Hebu kalale uache wakubwa waongee. Haya twende nikusindikize kaka mdogo...

Dada nakugongea mlango mbona hufungui?Nataka nikusalimie bana!Kumekuchaaaaaa!
 
mdogo wangu wewe muda huu wapaswa uwe umelala sasa mbone uko macho? miye nawafundisha tu hawa manake ndio kaazi ya mwalimu

Kumbe ndo maana mlikunja sura zenu kila mlipokua mnaniona nakatiza katiza sebuleni.Mmenichosha namfuata mchumba wangu Mchumba wangu Kaunga!
 
kama vile kuwajaribu mkatumia njia zisizofaa like kumtumia mwanamke kinyume na matumizi yake ya asili, au kuwaletea magonjwa wakati wa tendo like kunawengine wanashindwa katikati labda kapata homa and so forth

Sasa hayo ya 0713 mi siyajui,ila wanasemaga huko kuna joto balaa!Eti wanasema ukionja huachi,dada ni kweli?
 
gfsonwin na mie ninayependa ku-do kwenye gari inakuaje jamani?, maana nikipata amarula zangu kabla ya kufika hm huwa kuna kona fulani hivi, hapohapo, na tunakuwaga tungi tayari, inakuaje hapo ssa? au tuwe tunasali kabla ya kwenda kupata mvinyo?
 
Ebwanaeeeee!. . . . . . . . . . . .
 
but i remember wakti nakaribia kuolewa , i was jus 20yrs old, my mum told me, kuwa kwenda uvinza ni dhambi, hairuhusiwi na kwa cc wanawake kwa wanaume kula koni pia ni haramu, maana huwezi kwenda chumvini kwenye morning glory, halafu baada ya hapo misa ya kwanza kanisa la chuo, wewe ni wa kwanza kwenda kupokea ekarist takatifu! we believe yule NI MUNGU HAI ALTARENI, but ni wangapi wanafuata hiyo??? unatoka kula koni, then huohuo ulimi unakwenda kupokea! ni dhambi, ni kufuru.
 
Back
Top Bottom