CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya.
Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini kilichotokea ni watu wengi walioalikwa kutoa zawadi za maua badala ya pesa.Hali hiyo umewaacha wenzi hao na deni la Tshs 175milioni!
Kisa kamili hiki Bwana na bibi harusi wajinyonga siku nne baada ya harusi baada ya kukumbana na deni la zaidi ya milioni 175