Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Mi nina mke halali mmoja tu. Kipipi
Wengine ni hostoria
Pia likae moyoni mwako manoah
Atubukie na mhudumu asiyependa cha juu amnunulie na kalukuleta mpya, kwa hali itakavyokuwa hatutakuwa makini na bili.
Ngoja nikalale mie lol! Hadi umaziona jamani
Erickb52 na Arushaone , nani ana mahawala wengi?
macho hayana pazia usingizi mnono ngoja niendelea kupiga chabo hapa
Mungu Baba nakuomba ummbariki huyu mwanao Arushaone kwa kadri ya mapendo yako kwake, ujae ndani ya nafsi ya ufanye makao ndani ya nafsi yako. Ee! Mungu Baba wewe ni mkuu na ni tegemezi katika maisha yetu.
Mkubwa mzima unachungulia? Ngoja na wewe utachunguliwa tu
Erickb52 hana mahawara kabisa, bali ana wake ahalali wengi.
Kuhusu Arushaone kuwa na mahawara wengi hebu mwulize Blaki Womani utapewa jibu