eeeehhh vipi maumivu
hii haitakuwa ya siku 3, ngoja nianze kujipendekeza kwa Invisible anaweza akanisaidia ukapata ya angalau miezi 3 tuone kama hujaja kuomba nikuombee msamaha hukuTeh teh teh................. ukinipeleka selo siyo shida tena manake nimeshaanza kufahamiana na viongozi wa selo
bila kusahau wa karibu zaidi Mr Rocky
Blaki Womani hii copy hii nina wasi wasi nayo itakuwa inamhusu sweetlady tuu
Vin Diesel nae naona yuko kwenye mawindo huku Mungi akiwa hana uhakika wa ndoa yake na Lily Flower bado ana hamu na sweetlady
hii haitakuwa ya siku 3, ngoja nianze kujipendekeza kwa Invisible anaweza akanisaidia ukapata ya angalau miezi 3 tuone kama hujaja kuomba nikuombee msamaha huku
Lily Flower usikubali utetezi wa Mungi jana sweetlady kampelekea chakula cha kumtuliza na kumuondolea njaa ya selo hebu muulize kwa nini alikuja nyumbani jana akichekacheka na akiwa na harufu ya manukato wakati alitoka selo
Mungi ina maana Erickb52 amekubali kuwa yeye ni sharobaro wa atown eehh
Mi nareport abuse tena nitaomba urudishwe selo mwaka mzima
Ivi kumbe umenikumbuka asee shukrani sana. Najua sasa iv una adabu Pipa zima. Ukae nazo na utumie vizuri. Ukicheza tena unapigwa Moto sio bani tena. Pole kwa adhabu
sweetlady hebu toa cheti kimoja maana naona vijana wanaota kila dakika hukuBlaki Womani hii copy hii nina wasi wasi nayo itakuwa inamhusu sweetlady tuu Vin Diesel nae naona yuko kwenye mawindo huku Mungi akiwa hana uhakika wa ndoa yake na Lily Flower bado ana hamu na sweetlady
subiri tuone, lol!heeeeeeeeeee nani kakuambia kwenye ukweli kuna lupango?
nifungiwa miezi mitatu nakata rufaa zeheg