Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Ngoja nikalale mie lol! Hadi umaziona jamani

rhmbjyrhmbjy.gif
 
Teh teh teh................. ukinipeleka selo siyo shida tena manake nimeshaanza kufahamiana na viongozi wa selo
hii haitakuwa ya siku 3, ngoja nianze kujipendekeza kwa Invisible anaweza akanisaidia ukapata ya angalau miezi 3 tuone kama hujaja kuomba nikuombee msamaha huku
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 aise report abuse kwanza si unaona Mungi alivyotuita aise eti sisi ni masharobaro wa atown sikubaliani na hilo
manoah hebu pitisha maombi aise Mungi afute kauli yake
 
hahaaaaaaa hahaaaaaa........ sasa mtu wa kureport abuse ameniPM na kunigongea Like kwenye PM
 
Last edited by a moderator:
hii haitakuwa ya siku 3, ngoja nianze kujipendekeza kwa Invisible anaweza akanisaidia ukapata ya angalau miezi 3 tuone kama hujaja kuomba nikuombee msamaha huku

heeeeeeeeeee nani kakuambia kwenye ukweli kuna lupango?
nifungiwa miezi mitatu nakata rufaa zeheg
 
Last edited by a moderator:
Lily Flower usikubali utetezi wa Mungi jana sweetlady kampelekea “chakula“ cha kumtuliza na kumuondolea njaa ya selo hebu muulize kwa nini alikuja nyumbani jana akichekacheka na akiwa na harufu ya manukato wakati alitoka selo
Mungi ina maana Erickb52 amekubali kuwa yeye ni sharobaro wa atown eehh
Mi nareport abuse tena nitaomba urudishwe selo mwaka mzima
 
Last edited by a moderator:
Ivi kumbe umenikumbuka asee shukrani sana. Najua sasa iv una adabu Pipa zima. Ukae nazo na utumie vizuri. Ukicheza tena unapigwa Moto sio bani tena. Pole kwa adhabu
 
Jana nilikuwa na my Lily Flower muda wote, hapo ndo kagundua we ni mzushi.
afu haya maneno yako mbona ni tofauti na unavyoniPM bana?
kweli we sharo atown hahahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ivi kumbe umenikumbuka asee shukrani sana. Najua sasa iv una adabu Pipa zima. Ukae nazo na utumie vizuri. Ukicheza tena unapigwa Moto sio bani tena. Pole kwa adhabu

Mkuu masalia wakileta shida naenda kuharibu kule afu mnakuja kunidhamini nisikae selo tena
 
Back
Top Bottom