Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
bado hujamzushia kwa hiyo hajaanza kulalamika....kwani Kipipi naye analalamika?
Nishareport kwa Fang analifanyia kazi...lazma arudishwe kwenye kaubaridi ka server room
Nabook kwako Preta kwa Madame B BADILI TABIA cacico gfsonwin King'asti lara 1 Kongosho marejesho Lily Flower Kipipi (km akiwepo) Zinduna Erotica afrodenzi FirstLady1 sweetlady Yummy YNNAH snowhite FP Remmy charminglady Elizabeth Dominic Mwa J Dena Amsi Catherine Smile ila Blaki Womani namwachia Mzee wa Rula aliyeshika kijiti baada ya Arushaone kula buti la chogo.
Onyo....
Msiguse watu hawa..
Amyner yeye km kawa kajituliza kwa kasuku wake (mimi)
Mkuu masalia wakileta shida naenda kuharibu kule afu mnakuja kunidhamini nisikae selo tena
Blaki Womani hii copy hii nina wasi wasi nayo itakuwa inamhusu sweetlady tuu
Vin Diesel nae naona yuko kwenye mawindo huku Mungi akiwa hana uhakika wa ndoa yake na Lily Flower bado ana hamu na sweetlady
sweetlady hebu toa cheti kimoja maana naona vijana wanaota kila dakika huku
Ubarikie bwana Erickb52 , kwa uamuzi sahihi ambao hata malaika wa bwana wana shangalia.
jamani mlongo wangu mimi pia!Na mimi nimekumithiiijeeeeeeeeeeee!
Happy new year.
jamani mlongo wangu mimi pia!
HAPPY NEWE YEAR! mamdogo!
My Lily Flower usimsikilize Mr Rocky ni mzushi sana
Mi mzima hofu na mashaka ni kwako..nakusoma tu kwenye chit chat karibu kwenye jukwaa la stress....
Vin Diesel naona umeamua kurudia ulikosema hutarudi kwa sweetlady
Na hapi unatuambia hauko kwenye mawindo aise
Mungi may be Erickb52 ni sharobaro aise mi bado nina mpango wa kukureport kwa Paw au Invisible
Lily Flower mpaka mimi hunisikilizi eeehh
Lily Flower usikubali utetezi wa Mungi jana sweetlady kampelekea "chakula" cha kumtuliza na kumuondolea njaa ya selo hebu muulize kwa nini alikuja nyumbani jana akichekacheka na akiwa na harufu ya manukato wakati alitoka selo
Mungi ina maana Erickb52 amekubali kuwa yeye ni sharobaro wa atown eehh
Mi nareport abuse tena nitaomba urudishwe selo mwaka mzima
Vin Diesel naona umeamua kurudia ulikosema hutarudi kwa sweetlady
Na hapi unatuambia hauko kwenye mawindo aise
Mungi may be Erickb52 ni sharobaro aise mi bado nina mpango wa kukureport kwa Paw au Invisible
Lily Flower mpaka mimi hunisikilizi eeehh