Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Nishareport kwa Fang analifanyia kazi...lazma arudishwe kwenye kaubaridi ka server room

Heeeeeee sasa naona umeamua niweke ushahidi.

Nabook kwako Preta kwa Madame B BADILI TABIA cacico gfsonwin King'asti lara 1 Kongosho marejesho Lily Flower Kipipi (km akiwepo) Zinduna Erotica afrodenzi FirstLady1 sweetlady Yummy YNNAH snowhite FP Remmy charminglady Elizabeth Dominic Mwa J Dena Amsi Catherine Smile ila Blaki Womani namwachia Mzee wa Rula aliyeshika kijiti baada ya Arushaone kula buti la chogo.
Onyo....
Msiguse watu hawa..
Amyner yeye km kawa kajituliza kwa kasuku wake (mimi)

Copy kwa: Kipipi, Mr Rocky, Fang, Amyner @FP
 
Last edited by a moderator:
Mi mzima hofu na mashaka ni kwako..nakusoma tu kwenye chit chat karibu kwenye jukwaa la stress....


Mie mzima kabisa Crashwise, kwa upande wa jukwaa huko kwenye stress ni ngumu kuniona, tutakutana huku huku CC.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Lily Flower usikubali utetezi wa Mungi jana sweetlady kampelekea "chakula" cha kumtuliza na kumuondolea njaa ya selo hebu muulize kwa nini alikuja nyumbani jana akichekacheka na akiwa na harufu ya manukato wakati alitoka selo
Mungi ina maana Erickb52 amekubali kuwa yeye ni sharobaro wa atown eehh
Mi nareport abuse tena nitaomba urudishwe selo mwaka mzima

Mmmhh sidhani sweetlady hakukanyaga eneo la tukio Mr Rocky alikuwa hanukii harufu tajwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom