Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Mnafarijiwa na wanyama!?? mie mtume yule nanilii yule ndo aje anifariji
wape zawadi unao wajali kila mmoja ka moja
Haya mpendwa, wanyama nao sometimes hutuwakilisha.
Nawe nakupa hiyo.................Afu Usisahau
haya nakumbuka jamaaaniii
Sasa we unajua waifu akipita hapa itakuwa manoma bana
.....haya Mpendwa Nimepokea,
Nawe pokea ishara yangu kwako.............
Waoooooooooo...........
Then,..............Next
Fungua basi ile Kitu na wewe, tangu kipindi kile iko off............. (najua ushaelewa)
Ukiwa unajuana na majangili kama Kinana na mafisadi kama Lowasa, ban ni matatizo madogo madogo tu...hahahahaHahahaaaaaaa Mkuu kweli we noma, manake nilisoma mgongoni tarehe yako ya kutoka selo ilikuwa mbado.
Karibu mkuu tusherekee mwaka mpya sasa
Sasa we unajua waifu akipita hapa itakuwa manoma bana
uwiii... angalia kama wamesinzia View attachment 77905
anakulete mje munywe woteeeeeeee
Hahaaaaaaaaaaa.............
Fungua basiiiiiiiiiiiii..................