Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

wape zawadi unao wajali kila mmoja ka moja

Haya mpendwa, wanyama nao sometimes hutuwakilisha.
Nawe nakupa hiyo.................Afu Usisahau
Love-Kiss.jpg
 
Mbona niko huru kitambo kweli nilitoa rushwa..hahahaha

Hahahaaaaaaa Mkuu kweli we noma, manake nilisoma mgongoni tarehe yako ya kutoka selo ilikuwa mbado.
Karibu mkuu tusherekee mwaka mpya sasa
 
Hahahaaaaaaa Mkuu kweli we noma, manake nilisoma mgongoni tarehe yako ya kutoka selo ilikuwa mbado.
Karibu mkuu tusherekee mwaka mpya sasa
Ukiwa unajuana na majangili kama Kinana na mafisadi kama Lowasa, ban ni matatizo madogo madogo tu...hahahaha
 
Back
Top Bottom