Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
dogo acha hizo,umeona sasa ofisini hapakaliki
Mbona niko huru kitambo kweli nilitoa rushwa..hahahaha
nilichukua # za meneja wa Nyinda kwa ajili ya mbuzi laini na kuaanda meza pale juu
malizana nae mwenyewe mie sipo
Iko wapi hii pisi? ??
Nimemwambia mimi afu ananiona kauzibe...Mh. Mungi sikupi pole kwani ushakuwa sugu! Na ukirudia tena 'watakupeleka' LIFE BAN RESORT, FULLBOARD ACOMMODATION. Hakuna kutoka! (kidding) Karibu jamvini ! Happy New York! Ah sore Happy New Year!
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!
Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,
HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.
Mungi
Heheheee yan aliyeweza kunidanganya ni Kipipi tu na naona libwata yake kali balaa lolmbona ulishadanganyika siku nyingi upo kweenye utekelezaji
Heri ya mwaka mpya Erickb52 nimekumisje
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!
Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,
HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.
Mungi
Heheheee yan aliyeweza kunidanganya ni Kipipi tu na naona libwata yake kali balaa lol
Btw mi mzima kabisa Blaki Womani nimekumiss pia ila napatikana hapahapa chini ya mti km kawa!