Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

tayali nimefungua jamani

Haya........
Thank-You-Glitters-41.gif
 
Mungi Mungi jamani pole sana hiyo kampuni ya tunte mpaka ije ifilisike itakuwa imewasababishia ban watu wengi sana.
Na kule panalindwa masaa 24 hawalali wanapokezana zamu kukesha.
Welcome back
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi

Pole sana Mungi ndo challange hizo, BAN muhimu kama SUPLEMENTARY vile.

HERI YA MWAKA MPYA 2013.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mungi!

Nilidhani huko central maana nilitaka ni kuletee roshoro!
 
Last edited by a moderator:
mbona ulishadanganyika siku nyingi upo kweenye utekelezaji
Heri ya mwaka mpya Erickb52 nimekumisje
Heheheee yan aliyeweza kunidanganya ni Kipipi tu na naona libwata yake kali balaa lol

Btw mi mzima kabisa Blaki Womani nimekumiss pia ila napatikana hapahapa chini ya mti km kawa!
 
Last edited by a moderator:
Mungi kumbe ulikuwa likizo! na mimi nataka nilianzishe sasa niripoti kunisingizia nilinatiana kule TMK.....
happy new year
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi

Welcome back mr Mungi.
Heri ya mwaka mpya!
 
Back
Top Bottom