Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Muheshimiwa Erickb52 . Kipipi si ni mkeo harali?
Teh niko poa kabisaa na nilipokuona nimejawa na furaha mara mbili.
Hope zile stress za mwaka mpya umeshazisahau na umepona kwa sasa eeh
Karibu kwenye ulimwengu wa furaha achana na stress za walimwengu.
Wasiliana na manoah kagundua dawa!
 
Last edited by a moderator:
Hi Kipipi! Nakuona kwa mbali upo na maongezi na Erickb52.. Pouwa Jioni njema
Yaani katika siku ulizowahi kunifurahisha basi leo umeshika bendera.
Kati ya maneno yote unayoongeaga leo umetema pwenti mtupu.
Hivi jana ulilala wapi aisee??
Tafadhali ukiagiza fanta orange . . . .niite nikunyweshe!

BTW, dawa ya manoah haina haja, hilo pwenti lako ni mzizi tosha! lol
 
Last edited by a moderator:
Tumshukuru Mungu Baba, alie tujalia neema na kufanikiwa ku uona mwaka 2013, eh! MUNGU BABA mwenyezi katika kipindi hiki kigumu cha maisha na mkabidhi mwanao mpendwa Kipipi mikononi mwake, nae apate unafuu katika maisha yake, kama watakatifu wote walio tutangulia. Tuseme amina.
Kwani sianakuja kupata maombi tu bwana manoah ?
 
Last edited by a moderator:
welkam bak my dear Mungi! kule ni noumer!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 na ndugu Mungi , tumeagizwa upendo na palipo na upendo kuna amani, nalo neno likae mioyoni mwenu.
Samahani Mungi tuheshimiane....ntareport Abuse ooooh
Futa kauli kabla sijakurudisha server room
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom