jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?
Afu nishakubuku honey Mungi...umwambie PakaJimmy atuwekee siti ya pamoja hiyo siku ikifika. Sawa chwitii eeh?Mkuu PakaJimmy itapendeza sana kama tutakutana na mamembers wa kutoka chumvini (dar), lakini tuhakikishe tunaimarisha ulinzi wa kutosha kwa warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, marejesho na wengine kutoka Arusha, manake bana hawa jamaa wa kule hawaaminiki kabisa, ukizingatia akina Bishanga, Ruttashobolwa, Chilli wakiongozwa na mkaguzi babu Asprin.
Erickb52, Arushaone, Filipo, Mr Rocky na mlokole Mzee wa Rula tuhakikishe tunachafua hali ya hewa kwa warembo akina Madame B, charminglady, FirstLady na wengine bila kuogopa kwenda selo, bali tuhakikishe tumeacha mbegu kwa hawa jamaa...................................... kwa pamoja tunaweza
Lily Flower nimeshampatia majukumu mkuu............................. wadau wa Arusha tumejizatiti kuhakikisha awamu hii tunapanda mbegu za kiarusha dar.................... ili kufanikisha hilo Mr Rocky ameshafikia pazuri na Kipipi, kwa jinsi huyu mrembo alivyo na haraka nina mashaka kama hata watafika siku yenyewe
We nae ntakuacha sasahivi nimbuku Mzee wa Rula, huna siri? Mie nakunong'oneza wewe unapiga makelele!nitonye nipe taarifa zako mkuu uko wapi? njoo huku unaitwa
Tunaanzia hapo halafu tunatobolea mahali ambapo Ruttashobolwa hawezi kufika
We nae ntakuacha sasahivi nimbuku Mzee wa Rula, huna siri? Mie nakunong'oneza wewe unapiga makelele!
Nabook kwako Preta kwa Madame B BADILI TABIA cacico gfsonwin King'asti lara 1 Kongosho marejesho Lily Flower Kipipi (km akiwepo) Zinduna Erotica afrodenzi FirstLady1 sweetlady Yummy YNNAH snowhite FP Remmy charminglady Elizabeth Dominic Mwa J Dena Amsi Catherine Smile ila Blaki Womani namwachia Mzee wa Rula aliyeshika kijiti baada ya Arushaone kula buti la chogo.
Onyo....
Msiguse watu hawa..
Amyner yeye km kawa kajituliza kwa kasuku wake (mimi)
Hahahahaha! Lily Flower hata Mungi akikanusha mie wala sishituki manake huku kwenye PM amenijibu hivi namnukuu 'i love you too sweetlady and we will be together' ..mwisho wa kunukuu! Sema nae vizuri...lolHapo kwenye red inahitaji sredi inayojitegemea Mungi hebu kanusha.
Hahahahahaha, mbona wanikatisha tamaa mwenzio? PakaJimmy nani kambuku? Arushaone na Erickb52 siwataki manake wanalewa sana lol... Lily Flower niachie Mungi plz.Ohoooooooo! kumbe hujui Mzee wa Rula ni mlokole hahaaaaaaaaaa imekula kwako!