Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Eti kuna sijiu kitu gani ........... babu Asprin kwakuwa ni mkoloni anasema eti nguo imekaa kama kamba kamba hivi hahaaaaaa............. amesema umetume tu akuchukulie kama huna muda

Umesahau kuwa mimi ndo nilikukagua?
 
Last edited by a moderator:
Bora uwambie na nitaongeza miaka miwili hadi 2015 ili wajiue kabisa! Ukipa muda njoo mount meru hotel!

Kama mungi ana kusumbua sema maana dawa yake ni polisi central.

khaaa unauliza vumbi stoo Ruttashobolwa ninaye hapa hadi 2013
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…