Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,341
- 5,543
Ukimuona black women mwambie Bepari ana mtafuta
amesha bukiwa Mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuona black women mwambie Bepari ana mtafuta
...duh...Yaani Vere Vere nasikia kuna kubikiana haya PakaJimmy mimi nimeishafanya booking kwa Preta ole wako sasa ulete za kuleta sitaki maswali kwenye hili :typing: halafu Blaki Womani wewe haya tu weee subiri sikuletei tena samaki...LOL
Ndio hivyo banaaa si unajua tena mtu chake...duh...
Umeulizwa?amesha bukiwa Mkuu!
...hahahahahaha...TF..umetishaNdio hivyo banaaa si unajua tena mtu chake
..sema...bebii......
..hahahahaha...haya..come this way......
hahahaha. Unajipa mahope? Nimeshawasliana naye kwa Skype, Cmu, Pm n.k. Na kesho ntakuwa Arusha kwa ajili ya kuonana naye
Jamani Nicas Mtei , unatafuta ugomvi na my hubby....
Kumbe unasafiri? Basi mimi na Filipo tutakuja kukuchukua Bus station..... Basi litaingia saa ngapi?
Ukimuona black women mwambie Bepari ana mtafuta
Umeulizwa?
Ukinionea asali wa moyo wangu Mungi mwambie namsalimia sana, mwambie lunch tutapata pale pale kwa jana ...
Afu mwambie Erickb52 na Asprin waache kuntajataja manake wamenifanya nikajing'ata wakati natafuna maji...
Blaki Womani my only and lovely wifi mwaaaaa afu kakako nitonye toka aondoke nyumbani mwisho wa mwezi hajarudi mpaka leo!
amesha bukiwa Mkuu!
Nani huyo?
Mwenye kisu kikali tu si lingine!
Sasa mambo ya follow me on Twitter unayaleta huku? Ongea pole pole Filipo asisikie...
Mgeni uandaliwe msosi gani jioni?
Yaani Vere Vere nasikia kuna kubikiana haya PakaJimmy mimi nimeishafanya booking kwa Preta ole wako sasa ulete za kuleta sitaki maswali kwenye hili :typing: halafu Blaki Womani wewe haya tu weee subiri sikuletei tena samaki...LOL