Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Mkuu nitumie tena bahasha nyingine ya madolaree........ manake Kipipi kachanganyikiwa kwako................. ila PM ya muda huu alonitumia anasema eti leo amefanikiwa kuzichezea betri zako ni kweli?
achana na sweetlady bana komaa na ntoto Kipipi nishamtengeneza kakufia kinoma

Teh yan Mr Rocky kumchukua Kipipi ni ndoto...nawewe Mungi ndio maana unapelekwa sero umezidi majungu lol[/QUOTE]

Mkuu Mr Rocky alishamaliza kazi kwa Kipipi...................... hebu jitahidi mtafute Kabakabana hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nitumie tena bahasha nyingine ya madolaree........ manake Kipipi kachanganyikiwa kwako................. ila PM ya muda huu alonitumia anasema eti leo amefanikiwa kuzichezea betri zako ni kweli?
achana na sweetlady bana komaa na ntoto Kipipi nishamtengeneza kakufia kinoma

Mungi mbona nikikupa siri unakuja kuzitangaza hapa aise utampanya Kipipi ashtuke bana
Nakutumia bahasha nyingine aise ili sasa achezee mambo kamili halafu aingie kwenye basi siku hiyo[/QUOTE]

Mkuu siyo mimi, bali Kipipi ndo kani PM kuwa amefanikiwa kuzichezea mabetri zako bana
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! sweetlady ni mjukuu maalum wa babu. Na mjukuu maalum ni mke wa babu. Hii inamaanisha sweetlady ni my wife. Anayebisha anyooshe mkono juu aone cha mtema kuni.

"mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akakushauri jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau!"
sweetlady umesikia ya babu Asprin? Lily Flower mashaka ondoa babu shajitokeza
 
Last edited by a moderator:
Chezea pilika za daslamu. Na mie mbona niko nkoarua, nikija mjini nani atanivusha barabara?
Note: napita shortcut ya sing'isi, akeri, ilboru natokezea mianzini.
Saasa hapo mianzini unapotokezea ndo pabaya zaidi, maanaSiku ukija omba msaada tuje tukuvushe, tusijeanza kuandika RIP nyiingi hapa!
 
Last edited by a moderator:
Saasa hapo mianzini unapotokezea ndo pabaya zaidi, maanaSiku ukija omba msaada tuje tukuvushe, tusijeanza kuandika RIP nyiingi hapa!

usimtishe! Anipitie hapa Kiding'a tushuke nae!
 
orait orait.....umeuelewa uzi au hujauelewa......na kama umeuelewa......nini maoni yako.....?
Sa wewe unataka uwambiwe suprise? suprise haisemwi kabisaaa! stay tuned
 
hivi nataka kujua....... FirstLady...... Kimey..... Ncha... Chipukizi.... hmethod.... Derimto..... WiseLady.... fidel... MwanajamiiOne..... Crashwise.... Loner... Freetown.. Teamo... The Finest..... SaHaRa voice... Maty.... Kaizer......@GY.....@RR.....na wengine wengi....hamjauona huu uzi...ama ni nini....?......kama tumewakosea tunaomba msamaha lakini tafadhali itikieni hapa....khaaa......mlivyouchubua......

hahahahah...sasa Preta nikuone wapi nikupe zawadi ya kichina...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom