Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

kila la kheri katika maandalizi yenu ya safari
ingekuwa nov ningejumuika ila dec naenda kupokea mahari barabara ya 11
 
Wadau,

Naamini Wikiendi ilikuwa njema.

Rejeeni thread ya Preta
HII-HAPA.

Kikao kilifanyika Jumamosi Eneo la MERU VIEW, na Hadidu Rejea zifuatazo zilikubaliwa na kupitishwa na wana-Wing.
i. Tutakuwa na Safari ya kufunga mwaka, itakayokuwa baada ya X-Mass, na kabla ya Mwaka mpya!
That is kati yatarehe 26-30/12/2012, japokuwa wadau wote walipropose 28-30/12/2012 kuwa ndiyo muafaka kabisa.

ii.Safari ya mwaka huu itakuwa ni kwenda Mkoa wa Tanga ili kwenda kuona vivutio mbalimbali vya utalii, kuanzia Amboni Caves, Pangani, Hale etc, pamoja na mambo mengine mazuri ya Tanga....
(Tanga-Kunani pale?)

iii. Safari hii ni wazi kwa members wote wa JF... Kwa wale wanaotaka Dar, Moro na mikoa mingineyo tuwasiliane na kupeana confirmation zenu za kushiriki...Hadi sasa hivi JF Arusha -Wing kuna confirmations 15, kwahivo mambo ni kama tayari yashakolea.

iv. Michango tayari imeshaanza kukusanywa...Kwa ufupi ni kwamba members wote tulikaa na kufanya tathmini ya kugharimia safari hiyo, tukahakiki kuwa kila member kutoka Arusha-Wing anatakiwa kuchanga Tshs 100,000/= tu, ikiwa inacover mambo yote ya Usafiri, Menyu na kulala(kama kutakuwepo!!)

iv. Kwa members wa nje ya Arusha-Wing, gharama zote zitategemea unakotokea.

V.Kwa ufupi ni kwamba safari yetu itaanza rasmi siku ya Ijumaa 28/12/12 ambapo tutafika Tanga na kutembelea vivutio vya jirani vya utalii , then Jumamosi tutatembelea maeneo menginekadha ya nje ya mji, na kurudi kulala town ambapo Jumapili alfajiri tutarusi makwetu.

vi Mipango yote ya muhimu inaendelea kushughulikiwa na professionals wa mambo ya safari, ambapo kwa huku A-Town 50% ya members ni wadau wakuu wa sekta ya Usafirishaji.
Nitaendelea kuweka updates zote za muhimu katika thread hii.


Mwenye swali au ushauri karibuni, uwanja uko wazi.

UPDATE 01.
Waliothibitisha kwenda so far:

1.@Filipo na marejesho
2 Mungi na lilyFlower
3.@Blaki Womani na @Dark City
4.LiverpoolFC na mysoul.
5.@Madame B na @PakaJimmy,
6.@Kakakiiza na sweetlady,
7 Smile na Arushaone
8 Erickb52 na Kabakabana
9 Preta na Nicas Mtei
[/.SIZE]

10 Mzee wa Rula na Loner.

kwa hiyo mzee mkubwa ni pea pea tu....masingle hatutakiwiii
 
nitakuwa na wewe love@Arushaone hafai hata kwa supu.. ana wanawake kibao mi kuishi kwa zamu siwezi
basi utanifanya nije kulipia faster.....itabidi nivunje kabati
 
Back
Top Bottom