Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Eti nani ananiita? Ncha kama unataka kwenda selo fanya ubukiwe na Lily Flower........................... halafu na we Lily Flower unafanya mambo gani bana wakati unajua sweetlady yupo kwenye corner anantega?
Babe Mungi umetumia miwani gani na nilikuibia ile ya kusomea ulivyokuwa bwiii......... ha ha ha usijali mambo hayajaharibika.
Last edited by a moderator: