April 9, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Mwanamuziki maarufu wa DR Congo ameomba msamaha mashabiki wa muziki nchini Tanzania hususan katika miji ya Dar es salaam na Mwanza kwa kushindwa kufanya onesho lake kama ilivyotangazwa.
Ameviambia vyombo vya habari Tanzania baada ya kuwasili Dar-es-Salaam kuwa shirika la ndege la Kenya Airways halizingatii ratiba zake za ndege na kuleta usumbufu mkubwa kwa abiria wenye kazi zinazofuatua wakati maalum kama yenye na bendi yake.
Source: MCL digital