Werrason - ''Kenya Airways watibua show yetu Tanzania"

Werrason - ''Kenya Airways watibua show yetu Tanzania"

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
April 9, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Mwanamuziki maarufu wa DR Congo ameomba msamaha mashabiki wa muziki nchini Tanzania hususan katika miji ya Dar es salaam na Mwanza kwa kushindwa kufanya onesho lake kama ilivyotangazwa.

Ameviambia vyombo vya habari Tanzania baada ya kuwasili Dar-es-Salaam kuwa shirika la ndege la Kenya Airways halizingatii ratiba zake za ndege na kuleta usumbufu mkubwa kwa abiria wenye kazi zinazofuatua wakati maalum kama yenye na bendi yake.


Source: MCL digital
 
April 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania

Werrason Ngiama Makanda Live Escape One, Dar es Salaam Tanzania

By Amini Nyaungo

For the Congolese music lovers in Tanzania, especially Dar es Salaam they will have a perfect treat to start the weekend at Escape One on Saturday April the 14th.

Legendary Rhumba singer Werrason Ngiama Makanda will take on the stage to entertain music fans in the city.

Werrason owns a music band called ‘Wenge Maison Merre.’ The musician arrived in Dar es Salaam on Monday.

The organizer of the show from Prime Time Promotions, Hamis Dakota said after the Dar es Salaam show Saturday , Werrason with his band is expected to travel to Mwanza to entertain the Rock City fans.

Werrason released an amazing album 2017 named Kibuisa Mpimpa, containing songs like Kibuisa Mpipa (Opération Dragon), Extrait Remix, Malewa, and Satellite.

He was a founding member of once a famous band Wenge BCBG with their hit song Pentagon in 1990’s with his talented musicians like JB Mpiana, Allan Makaba, Didier Massela and Blaise Bula.

After separating with Wenge BCBG, Werrason has released his first album called Force D’Intervention Rapide, the second was ‘Solala Bien’ in 1999 while was doing an remembering show Sebene in 2002 called ‘Zenith’ that no any Congolese has done like that in Kinshasha.
Source : www.azaniapost.com
 
Back
Top Bottom