Wes Moore ameapishwa kuwa Governor wa Maryland

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

West Moore akiwa katika picha ya pamoja na familia yake wakiungana na Oprah kufurahia uwapisho huo.

Westley Watende Omari Moore is an American politician, investment banker, author, and television producer serving as the 63rd governor of Maryland since 2023. A member of the Democratic Party, he is the first Black governor of the state and the third Black person elected as governor of any U.S. state.

Pia ndiye alimkaribisha Oprah Maryland kama mwajiriwa katika kipndi chake cha TV.

Vijana tafuteni pesa.
 
Hii kauli ya tafuteni pesa kwangu naonaga ni aina flani ya upuuzi tu.

Hakuna asiyetafuta pesa na si kila anayetafuta pesa anataka awe maarifu au mtu mwenye cheo flani
Kweli mkuu, leo ndio tumeambiwa hivyo nani kawaambia pesa inatafutwa siku hizi pesa inategwa km chambo kwa Samaki,
 
Huoni kibabu kuna mke mbichi kabisa na kibabu bado kina waka.
🤣🤣🤣🤣🤣
Wenzetu hawatangulizi pesa kama bongo wanacho jali ni upendo ws kweli.
Bongo na Afrika ndio unanunua penzi
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Wenzetu hawatangulizi pesa kama bongo wanacho jali ni upendo ws kweli.
Bongo na Afrika ndio unanunua penzi
Unamaana Melanie Trump alifuata mapenzi ya kweli pale?
 
Kile kibibi Macron ni kigagula kile 😂
Ukumbuke ni mwalimu wake.
Wenzetu kwao mapenzi sio miaka wanasema miaka ni namba.
Huku kwetu ni pesa.
Ukiwa na pesa unamuoa miss yoyote hata ukiwa huna meno yaani mzee
 
Ukumbuke ni mwalimu wake.
Wenzetu kwao mapenzi sio miaka wanasema miaka ni namba.
Huku kwetu ni pesa.
Ukiwa na pesa unamuoa miss yoyote hata ukiwa huna meno yaani mzee

Mapenzi sio umri kweli ila mapenzi ni pesa, watu hawaangalii umri wako bali pesa yako, huko unakowaita "wenzetu" ndio kumetokea misamiati ya 'Gold digger' na 'Gigolo' sasa sijajua walimuwekea mwanamke/mwanaume wa Kiafrika!

Hii kasumba ya kuwatukuza watu wa magharibi na kudhani wao ni watakatifu sana na kuji underrate ninyi wenyewe sijui itaishi lini, ni ushamba, ulimbukeni, kutokujiamini au ukosefu wa exposure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…